HATA SASA BWANA AMETUSAIDIA

katika mapito magumu Bwana amefanyika ngao nangome kwetu usiogope kwahayao unayoyapitia mwamini Mungu atafanya njia mahali pasip nanjia kwajina la Yesu kumbuka anasema “niite nami nitakuitikia nami nitakuonyesha mambo Magumu na mazito usiyoyajua”Yeremi33:3 Mungu akubarikaisana ………Ev.john 0768386606 maombi na ushauri.