SOMO:KATIKA YESU KILA JARIBU LINA MLANGO WA KUTOKA ZABURI 139:11-16; MATHAYO 4:1-11 *SOMO LA MAHUBIRI: DANIELI 3:19-23* WIMBO: TMW 86 *UTANGULIZI* Nebukadreza mfalme wa Babeli aliishinda Yerusalemu na kuwachukua watu mateka wakiwepo kutoka katika nyumba ya kifalme, huu ulikuwa wakati wa Mfalme Yehoyakimu wa Yuda, pia vyombo vya nyumba ya Bwana vilichukuliwa hadi Babeli. Hii … Continue reading IBADA YA TAREHE 22 FEBRUARI 2026* SIKU YA BWANA YA 6 KABLA YA PASAKA (INVOCAVIT – MUNGU ANAITA NAMI NAITIKA)→
Wazo:RARUENI MIOYO YENU Yoeli 2:15-20* *UTANGULIZI* Wapendwa katika Kristo Yesu, neema na amani zitokazo kwa Mungu Baba na Bwana wetu Yesu Kristo ziwe nanyi nyote. Amina. Leo tunaingia katika kipindi cha Kwaresma, tukianzia Jumatano ya Majivu. Ni kipindi cha kutafakari mateso ya Bwana wetu Yesu Kristo, kujichunguza, kutubu, na kurejea kwa Mungu kwa moyo wote. … Continue reading MAHUBIRI YA IBADA YA JUMATANO YA MAJIVU TAREHE 18/02/2026→
*IBADA YA TAREHE 15 FEBRUARI 2026* SIKU YA BWANA YA 7 KABLA YA PASAKA (QUINQUAGESIMA/ESTOMIHI) *YESU AIENDEA NJIA YA MATESO YERUSALEMU* ZABURI 48:1-8; RUMI 11:25-27 *SOMO LA MAHUBIRI: MATHAYO 17:22-23* WIMBO: TMW 415 MAFAFANUZI 1. *UTANGULIZI* Katika Injili ya Mathayo Yesu anatabiri juu ya mateso, kifo na kufufuka kwake mara tatu. Hii inaonesha kuwa mateso … Continue reading KKKT DKU SIKU YA BWANA YA 7 KABLA YA PASAKA→
Somo:TUENENDE KWA HEKIMA ZABURI 119:161–168; MATHAYO 10:5–15, MITHALI 1:1–7* WIMBO: TMW 294 MAFAFANUZI 1. UTANGULIZI: Mithali 1:1 Kitabu kinaitwa Mithali za Sulemani, mwana wa Daudi, mfalme wa Israeli. Kitabu hiki ni mkusanyiko wa misemo ya hekima kuhusu hali halisi ya maisha ya kila siku yenye busara na haki ikigusa mada mbali mbali. Kitabu kinatoa mafundisho … Continue reading IBADA YA TAREHE 06 AGOSTI 2023 SIKU YA BWANA YA 9 BAADA YA UTATU→
Somo:WEMA WA MUNGU WATUVUTA TUPATE KUTUBU ZABURI 27:5-10; 2 KOR. 7:7-12;HOSEA 14:1-3* WIMBO: TMW 149 MAFAFANUZI 1. UTANGULIZI Ujumbe wa kitabu cha Nabii Hosea uliwasilishwa kwa njia ya kuigizwa katika Maisha ya nabii mwenyewe. Kwa mtazamo wa utumishi na ufuasi haikuwa njia rahisi ya kuwasilisha ujumbe. Nabii Hosea aliagizwa na Mungu kuoa mwanamke kahaba na … Continue reading IBADA YA TAREHE 30 JULAI 2023 SIKU YA BWANA YA 8 BAADA YA UTATU→
Tangu nimeokoka nimebahatika kusikia mafundisho mengi sana mazuri kuhusu imani, wakati mwingine nilijifunza kuwa huhitaji imani kubwa kung’oa mlima, na nilipoijaribu imani ndogo kung’oa mlima, mlima uliishinda imani yangu ndogo. Je! Wapi hasa nilikosea mpaka kushindwa kuung’oa mlima mkubwa kwa imani ndogo? ( nadhani nilihitaji imani inayokua kama mbegu ya haladali, mpaka kuzidi ukubwa wa … Continue reading KIPIMO CHA IMANI→
Somo:UCHAGUZI WA BUSARA ZABURI 37:1-8; LUKA 10:38-42 MATENDO 6:1-6* WIMBO: TMW 422 MAFAFANUZI 1. UTANGULIZI Hadi wakati huu wafuasi wa Yesu walikuwa wachache sana, lakini siku ya Pentekoste waliongezeka waumini elfu tatu (3,000). Kwa mujibu wa mwandishi wa Kitabu cha Matendo, Mungu aliongeza wanafunzi kila siku (Mdo 2:47). Mitume wakaweka nguvu zao katika kuhubiri, kufundisha, … Continue reading IBADA YA TAREHE 23 JULAI 2023,SIKU YA BWANA YA 7 BAADA YA UTATU→
wazo la wiki: JIRANI YANGU Masomo: Zaburi 28:1-4 Mathayo 12:46-50 Matendo 28:7-10* Rangi: KiJANI Wimbo:TMW 410 UTANGULIZI Leo tunatafakari juu ya mada ya Jirani zetu tukilitazama neno la Mungu kutoka Matendo 28:7-10 > Jirani kulingana na tafsiri ya Kiswahili ni mtu yeyote aliye karibu na mahali unapoishi. > Jirani mi mtu muhimu sana katika maisha … Continue reading SIKU YA BWANA YA 13 BAADA YA UTATU→
SOMO: TUTUMIE VYEMA NDIMI ZETU masomo: Zaburi 134 Mithali 10:11-13 Mathayo 8:1-4* SHABAHA: WASIKILIZAJI WAELEWE YA KWAMBA KILA NENO LA ULIMI LAZIMA LITATOLEA HESABU KAMA JEMA AU BAYA SIKU YA HUKUMU UTANGULIZI Usemi ni uwezo mmojawapo wa mwanadamu wenye nguvu zaidi, kwa sababu kwa maneno yake anaweza kuleta manufaa makubwa, lakini pia anaweza kuleta hasara … Continue reading MAHUBIRi Ya SIKU YA BWANA YA 12 BAADA YA UTATU→
Somo:TUWE WANYENYEKEVU fungu;LUKA 21:28-33 Bwana Yesu asifiwe….. Unyenyekevu ni nini? Unyenyekevu ni hali ya moyo na akili inayomfanya mtu ajikubali alivyo na awakubali wengine walivyo. Kwa njia ya unyenyekevu mtu anatambua analopaswa kutenda na analitenda na pia asilopaswa kulitenda na halitendi. Kwa njia ya unyenyekevu, mtu anawapa wengine nafasi ya kuwa wanavyotakiwa kuwa katika haki. … Continue reading JUMAPILI YA 11 BAADA YA UTATU 23/08/2020→