MCHUNGAJI PETER MITIMINGI AFARIKI DUNIA USIKU HUU.

> Ni Mchungaji Kiongozi wa Kanisa la Warehouse Christian Center(WHC)

> Alifahamika zaidi kwa mahubiri na mafundisho yake kuhusu mahusiano na maisha ya ndoa..

Pumzika kwa amani

@evjohn
Sauti ya wasio na sauti

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *